Charles Njonjo

Charles Njonjo wakati Mwanasheria Mkuu wa Kenya, c1970


Charles Mugane Njonjo (1920 - 2 Januari 2022) alikuwa Mwanasheria Mkuu wa nchi ya Kenya (1963-1979), na Waziri wa Katiba (1980-1983).


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search